Barabara kutoka Mikunguni kwenda Mwembenjugu ikiwa katika matengenezo makubwa baada ya kukumbukwa. Caterpillar likiwa kazini kuburuga kabla ya kuwekwa lami mpya
SERIKALI YATAKA CBE KUZALISHA WATAALAMU BUNIFU KUSAIDIA SEKTA YA UTALII
-
*Serikali imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuelekeza nguvu katika
kuzalisha wataalamu wabunifu na wenye ujuzi wa hali ya juu watakaoweza
kut...
46 minutes ago
0 Comments