WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Hassan Jihad akizungumza na Uongozi wa TFF na ZFA katika ushirikiano wa masuwala ya michezo kwa pande hizo mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hateli ya Bwawani jana, kulia Rais wa TFF LeodgarTenga.
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
-
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua maendeleo ya
ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda lililopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza baada ya u...
1 hour ago
1 Comments
lkn mkuu, umeutumia vizuri mkutano wako na tenga? maana sasa tunahitaji kua 'realistics'Tunakataa udhamini wa bia, ligi inakosa udhamini huku bia zina uzwa mpaka chochoroni!'U can't force conviction by dagger' Tunang'ang'ania kuomba uanachama wa FIFA(jambo ambalo ni kinyume na katiba yake) huku ligi yetu inatushinda...sie twaonewa tuuu!!!
ReplyDelete