Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, wakiwa katika mazoezi, katika Uwanja wa kijiji cha Al Maad Olimpiki Centre, Misri, ambako timu hiyo imeweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Chalenji, Wanaoonekana mbele, kutoka kushoto ni Abdulhalim Humud, Suleiman Kassim na Khamis Mcha 'Viali'. ( Picha kwa Hisani ya ZFA).
UJUMBE RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WANYAMAPORI – 2026
-
Kauli Mbiu ya Mwaka 2026:
“Medicinal and Aromatic Plants and Their Contribution to Human Welfare: The
Way Forward for Sustainable Use”
(“Mimea ya Dawa na...
51 minutes ago


1 Comments
hawa ni Timu ya vijana au wakubwa maana naona hawana miili ya kiutu uzima kama wachezaji wa zamani kina koresheni,Inosent haule,shaban mussa, na wengineo. inaonekana lishe hakuna kweli tutasonga mbele??
ReplyDelete