Wanafunzi wakichezea maji ya Mvua katika maeneo ya Amani, wakati wakitoka Skuli, baada ya kumalizika kwa mvua iliokuwa ikinyesha kwa muida wa dakika 45 na kusababisha kujaa kwa maji katika eneo hilo na kufanya mchezo bila ya kujali afya yao.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
12 hours ago
0 Comments