6/recent/ticker-posts

Dk Shein Akutana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments