NAIBU WAZIRI WANU AAGIZA CHUO MZENGA KUTOA MAFUNZO YANAYOENDANA NA UCHUMI
WA ENEO
-
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,
ameutaka uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mzenga, kilichopo Kata
ya Mzenga, ...
1 hour ago
5 Comments
Safi sana!...yaani baada ya kuona picha..ni kama vile na mimi nilikuwepo! Thank you for the good work brother,..and god bless you!
ReplyDeletehawa cuf hatuwaelewi kina Maalim Seif na wao washeherekea kwa kuuwawa kwa watu wasio na hatia. kweli hii HAKI SAWA KWA WOTEE!!!. Mtajibu nini kwa ALLAH?
ReplyDeleteTusiwalaumu CUF kwani wao sio waloshika mpini,kujitenga kuteleta athari zaidi ya mafanikio tuone hapo wakishika hatamu iwapo watayaendeleza haya.
ReplyDeletelazima tuwalaumu kwani Binaadam huna uhakika kama kesho utafika sasa je ukiondoka leo duniani utajibu nini kwa ALLAH?
ReplyDeleteInaskitisha!..baada ya miaka 48 watu bado wanazungumzia nani alimuuwa nani..sielewi bila muungano Z'bar itakuwaje?
ReplyDeleteMimi nadhani sisi vijana hatutakiwi kurudi huko kurudi huko, bali tunatakiwa kuangalia tunaipelewi wapi Z'bar ya leo.
Lazma tukubali waliouwawa wameuwawa na hatuwezi kuendelea kurudia maneno hayo hayo kila siku..inaleta chuki!