GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia ma...
4 hours ago
1 Comments
Yaani hawa Waomani mimi hata siwaelewi!..Yaani ukiangalia historia ya Oman na Z'bar na tulikotokea!..Huwezi kuamini kama wangeweza kuiacha Z'bar ktk hali ya umaskini!
ReplyDeleteMimi naamini kama wangeisaidia Z'bar, isingekua faida tu kwa serikali au kwetu sisi'gozi gozi' bali hata kwa ndugu zao wa damu ambao bado wapo hapa na wataendelea kuwepo Z'bar kwa vile pamesha kua pao.
Tuseme wasije kutusaidia, basi hata kuja kutembelea yale magofu yao na makaburi ya babu zao..wanashindwa na wazungu?..ama Warabu kiboko!!..Mungu awasaidie!!