Wananchi wakiwanunulia Watoto wao Vifaa vya Masomo katika maeneo ya Darajani dazeni moja ya mabuku inauzwa shilingi 12000/=.
Burdoza la Idara yaUtunzani wa Barabara Zanzibar ikikwangua lami iliokwisha katika moja ya barabara ya Kinazini Mlandege ili kuweka lami mpya kuimarisha miundombinu ya barabara za mjini.
Barabara ya Amani ikiwa katika hali ya utulivyo na mandahari ya kuvutia bila ya kuwa na msongamano wa magari wakati wa mchana, tafauti na siku za nyuma huwa na pirikapirika za magari ya abiria.
0 Comments