6/recent/ticker-posts

MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR.


WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna akitowa nasaha zake kwa wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, katika Mahafali ya Tatu ya Chuo hicho yaliofanyika katika Viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni.

Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati, Ali Juma Shamuhuna, akimpongeza Mwanafunzi bora wa nidhani kwa mwaka huu, Haji Nassor, katika mahafali ya Tatu ya Chuo hicho.
Mwandishi wa  ZBC,Salma Lusangi, akipongezwa na Waziri  Ali Juma Shamuhuna, wakati wamahafali ya Tatu ya Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, yaliofanyika viwanja Wizara ya Habari Kikwajuni.

Post a Comment

0 Comments