6/recent/ticker-posts

MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA OMAN


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Bwana Mansoor Al- Busaid . Balozi Mansoor Al- Busaid ambaye ni mpya alifika ofisini kwa Maalim Seif kujitambulisha kuwepo kwake rasmi.. Picha na Salmin Said OMKR

Post a Comment

1 Comments

  1. Yaani hawa Waomani mimi hata siwaelewi!..Yaani ukiangalia historia ya Oman na Z'bar na tulikotokea!..Huwezi kuamini kama wangeweza kuiacha Z'bar ktk hali ya umaskini!

    Mimi naamini kama wangeisaidia Z'bar, isingekua faida tu kwa serikali au kwetu sisi'gozi gozi' bali hata kwa ndugu zao wa damu ambao bado wapo hapa na wataendelea kuwepo Z'bar kwa vile pamesha kua pao.

    Tuseme wasije kutusaidia, basi hata kuja kutembelea yale magofu yao na makaburi ya babu zao..wanashindwa na wazungu?..ama Warabu kiboko!!..Mungu awasaidie!!

    ReplyDelete