Mkurugenzi wa Imzir Pharmacy Ltd Nizar Abuu Machano, akikabidhi Madawa kwa ajili ya Timu za Jamuhuri na Mafunzi zinazoshiriki michuano ya Afrika, akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kuendeleza Michezo Zanzibar Sharifa Khamis,na katikati Makamu Mwenyakiti wa Kamati hiyo.kakabidhiano hayo yamefanyika katika duka Mkunazini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kuendeleza Michezo Zanzibar Sharifa Khamisi, akitowac shukrani kwa Msaada huo uliotolewa na Duka la Izmir Pharmacy kwa ajili ya timu zetu za Jamuhuri na Mafunzo kuweza kushiriki vizuri katika mashindano hayo na kuwataka Wafanyabiasha wengine kujitokeza kuchangia timu zetu kwa hali na mali..
5 Comments
Waambie hao jamaa spelling ya energy imekosewa, warekebishe kwenye hilo tangazo la biashara.
ReplyDeleteHata na mimi nlitaka kusema, lkn. baada ya kuona jina la huyo mkurugenzi wake, nikasita kwanza.
ReplyDeleteHicho 'kichwa' nakifahamu.. !
ASANTE SANA KWA KUTOWA MAWAZO YAKO KUHUSU SPELLING YA ENERGY, NENO HILO HUTUMIKA KATIKA LUGHA YA KILATINI. KATIKA MAMBO YA UDAKTARI.TUMEPOKEA USHAURO WAKO.
ReplyDeletehongera sana Izmir kwa msaada wako wa dawa, nategemea utaendelea kuwaunga mkono watendaji wa soka zanzibar
ReplyDeleteNizar machano TÜRKİYE SENİNLE GURUR DUYUYOR İZMİR PHARMCY
ReplyDelete