6/recent/ticker-posts

Wadau wa Picha wakiteta Afisi Kuu ya CCM.

Mdau wa Makamu wa Pili wa Rais Kaka Hassan Issa, Mdau Amour Nassor wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Mdau wa Blog hii  Othman Maulid, Mdau  Ramadhan Othman wa Rais wa Zanzibar na Mdau Sufiani Mafoto wa Makamu wa Rais wa Tanzania, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisuwandui wakisubiri kupiga kazi ili kuwewezesha wadau wa habari kupata vitu vya uhakikika katika hafla hiyo ya kisomo cha Khitma.  

Post a Comment

1 Comments

  1. Kaka Mapara, sikuweza kukutambua mara moja kutokana na 'kiuwa'..mambo ya Zenj hayo!

    Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya!

    ReplyDelete