Mdau wa Makamu wa Pili wa Rais Kaka Hassan Issa, Mdau Amour Nassor wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Mdau wa Blog hii Othman Maulid, Mdau Ramadhan Othman wa Rais wa Zanzibar na Mdau Sufiani Mafoto wa Makamu wa Rais wa Tanzania, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisuwandui wakisubiri kupiga kazi ili kuwewezesha wadau wa habari kupata vitu vya uhakikika katika hafla hiyo ya kisomo cha Khitma.
MADIWANI KIBAHA NA CHALINZE WATAKIWA KUIMARISHA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA
UMMA
-
Na Khadija Kalilli,Kibaha
KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chal...
12 minutes ago
1 Comments
Kaka Mapara, sikuweza kukutambua mara moja kutokana na 'kiuwa'..mambo ya Zenj hayo!
ReplyDeleteHongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya!