Baadhi ya Wanakamati wa An-noor Community Centre Leicester - UK
Picha juu ni baadhi ya Waumini walioitikia wito kuhudhuria Chakula cha jioni katika kutafuta pesa kwa ajili ya kununua jengo la Jumuiya
Msaidizi Meya wa Jiji la Leicester Abdul Osman akitoa nasaha zake wakati wa chakula cha jioni kuhimiza waislamu kuchangia katika amali za kheri kwa faida zao wenyewe.
Ghafla hii isingelinoga bila ya kuwepo nguli wa upishi wa Biriani na mahanjumati mengine Leicester na Uingereza kwa ujumla, Maalim Khamis Kulia na Maalim Zubeir Pongwa wakati wakiwaandalia waliohudhuria ghafla hii.
DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la
upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.
Zoezi hilo ...
7 minutes ago
0 Comments