6/recent/ticker-posts

ILO Yatowa Kompyuta kwa Wazara ya Kazi na Uwezeshaji Zanzibar.


 MWAKILISHI Mkaazi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Zanzibar, Fatma Mohammed (kushoto) akimkabidhi msaada wa kompuyta Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Zanzibar, Haroun Ali Suleiman ,ILO imetoa msaada wa komputa nne kwa Wizara ya Kazi zenye thamani ya dola elfu nne makabidhiano hayo yalifanyika Makao Makuu ya Wizara hiyo Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi jana.(Picha na Haroub Hussein).

Post a Comment

0 Comments