Naibu katibu Mkuu Ofisi ya makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiangalia ndege katika banda la Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi Wanyama Pori Mwika alipotembelea banda hilo,wakati wa maonyesho ya wiki ya mazingira mkoani Kililimanajaro.(Picha na Ali meja)
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais.Mhe. Charles Kitwanga akipata maelezo kutoka kwa Bi Arafa Maggid Mhandisi Mazingira Bonde la Pangangi kuhusu Vifaa vya Kupimia Ubora wa Maji,alipotembelea banda la hilo katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Ali meja Ofisi ya makamu wa rais)
KISIWA CHA SAANANE CHAADHIMISHA 'BIRTHDAY' MIAKA 10 YA SIMBA
-
Simba wa Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Saanane akijiandaa kula keki maalum
Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya...
2 hours ago
0 Comments