Mwalimu wa Chuo cha Uwandishi wa Habari
Zanzibar (ZJMMC), Juma Ali Simba akizungumza na waandishi wa habari ambao ni
wanachama wa klabu ya waandishi wa habari Pemba (PPC), kwenye mafunzo ya siku
tatu juu ya maadili ya waandishi wa habari, yaliofadhiliwa na Bazara la Habari
Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa habari Pemba (PPC),
yaliofanyika ukumbi wa TASAF Pemba (picha
na Haji Nassor, Pemba)
OFISI ZA ARDHI ZAPATIWA VIFAA VYA TEHAMA 1,429 KUBORESHA UTENDAJI
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo,
amekabidhi jumla ya vifaa vya TEHAMA 1,429 vyenye th...
35 minutes ago
0 Comments