Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakimsalimia Mzee Said Noor Abdulkadir, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake, Tunduni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, jana Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na maradhi ya mguu kwa muda wa miaka 13.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mzee Silima Jendele, wakati Makamu alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Wazee leo, Desemba 24, 2012 katika Mkoa wa Kusini Unguja


1 Comments
Kama ukilinganisha picha hizi(za kusini) na zile za Kaskazini kuna jambo muhimu sana hapa la kujifunza.
ReplyDeleteMgawanyo mbovu wa rasilimali(ajira) za visiwa hivi masikini ni dhahiri katika taswira hizi.
Asilimia takriban 40 ya watumishi wa SMZ wanatoka sehemu moja tu hapa kati ya mbili zilizotembelewa na Dr. Bilali.