Matayarisho ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Watoto Kariakoo, kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Kiwanja cha Kufurahishia Watoto Kariakoo Zanzibar,kama kinavyoonekana pichani baada ya kufunguliwa baadhi ya pembea zilizokuwa zikitumika katika kiwanja hicho, ili kupisha ujenzi wake na kufungwa mapembea ya kisasa baada ya ujenzi wake unaojengwa na Kampuni kutoka nchini China.
DKT. MSOWOYA AWATAKA WASOMI CHUO KIKUU CHA IRINGA KUJIEPUSHA NA NDOA ZA
REJAREJA
-
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Iringa, Dkt. Tumaini Msowoya,
amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Iringa kuwa makini
na mai...
1 hour ago
2 Comments
Huu ni uvivu wa kufikiri!..Nilitarajia SMZ watumie uwanja huu kwa kitu kingine kama vile ujenzi wa stendi au ofisi za serikali.
ReplyDeleteKtk wakati huu wa biashara huria SMZ ilitakiwa iwaachie w'nchi watafute maeneo ya kujenga mapembea ya kufurahishia watoto.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete