6/recent/ticker-posts

Mdau hayo hayako maegesho yako safarini.

Magari haya hayako katika maegesho ila yakisubiri kupakiwa katika meli ya  Sea Link 1 ya kampuni ya Azam Marine kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Zanzibar kwenda Dar-es- Salaam, eneo hili limejengwa na kampuni ya Azam na Shirika la Bandari Zanzibar kutolea huduma ya kupakilia abiria wanaokwenda Pemba na Dar.

Post a Comment

0 Comments