Wafanyabiasha katika eneo la Darajani ilibidi kutumia miavuli kukinga biashara zao kutokana na mvua inayonyesha katika manispa hiyo na kukosa wateja wa bidhaa hizo katika kipindi hichi wakiwa wamejivunika miavuli kusubiri wateja wao.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Suleiman Abdulla awaongoza wateja, wadau
wa NBC kushiriki hafla ya futari Zanzibar
-
-Aipongeza NBC kwa Mchango wa Maendeleo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla jana aliwaongoza ...
5 hours ago
0 Comments