Hivi ndivyo inavyokuwa wakati wa kuyafanyia ukarabati mkubwa wa majumba ya mji mkongwe kwa kutumia miti kuzuiya ukuta wakati ujenzi huo ukifanyika kama inavyoonekana nyumba hii ilioko katika mtaa wa kokoni ikiwa katika ukarabati ukifanyika ili kuiweka nyumba hiyo katika ubora na uimara wake na kuwa na uimara wake kwa kuwa makazi ya wananchi wanaoishi katika nyumba hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Suleiman Abdulla awaongoza wateja, wadau
wa NBC kushiriki hafla ya futari Zanzibar
-
-Aipongeza NBC kwa Mchango wa Maendeleo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla jana aliwaongoza ...
7 hours ago
0 Comments