Moja ya Marikiti Kuu Zanzibar ambayo hutowa huduma za kujipatia vitu na bidhaa mbalimbali kwa Wananchi wa Unguja. Soko hili ni kivutio cha Wageni wanaotembelea Zanzibar likiwa lina historia ya aina yake Zanzibar.
Nishati : Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Matanki
ya Kupokea Mafuta Bandari ya Dar es Salaam
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi
wa Mat...
18 hours ago
2 Comments
Mwandishi ni vizuri kuandika"Soko hutowa huduma za kujipatia vyakula mbalimbali badala ya kuandika vifaa mbalimbali maana hapo hapauzwi nondo ,saruji wala mabati, hapo wananchi wanajipatia mahitaji ya chakula.
ReplyDeleteSawa mkuu tumerekebisha na kuweka vitu na bidhaa.
ReplyDeleteShukran kwa angalizo