Bei ya Bidhaa vza vyakula katika Manispaa ya Unguja ndio inavyoonekana katika moja ya duka katika mitaa ya Zenj, bado bei iko juu kwa mlaji, kila siku bei hiyo haishuki iko hapo hapo juu.Serekali kupunguza ushuru katika vyakula lakini wafanyabiashara bado kupunguza bei ili kumpa unafuu mlaji.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
12 hours ago
5 Comments
Vizuri ungelituandikia hizo bei tukaziona kwani hapo hazisomeki
ReplyDeleteIclick hiyo picha itakuwa kubwa na bei zote utaziona kirahisi
ReplyDeletekumbe huku ulaya mchele bei rahisi kuliko huko zenji lol mchele wa basmati huku kilo ni euro 1 na nusu, sukari ni 1 euro kilo...
ReplyDeletemaendeleo ya muungano hayo.
Hongera Mapara hakika uko juu, wasije wakakuona mbaya tu hao kwa uzinduzi unaouanika hapa kwenye mtandao. Naamini blog yako inaleta mwamko wa aina yake kwa walio nyumbani na sisi tulio ughaibuni. Keep up the good work Mzee wa ukweli...
ReplyDeleteMaeneo yote yenye rutuba wahadim wanajenga kiholela ardhi ya kulima mchicha haipo vitu visipande bei vingoje wa wanao taka kupumua?.Uo utakuwa ugonja mchele ulimwe ,India uuzwe rahisi uguja
ReplyDelete