Wafanya biashara ya samaki katika eneo la Maisara Kizingo wakitowa maelekezo ya wateja wao wapi wako baada ya kukubali amri ya manispa ya Zanzibar kuondoka eneo hilo ambalo haliruhusiwi kufanya biashara kutokana na kuweka mazingira mazuri eneo hilo.
MAFUTA NA GESI NI NGUZO YA UCHUMI WA TAIFA
-
*Sekta ya mafuta na gesi kama nguzo ya maendeleo ya Taifa*
Na Rashid Mtagaluka.
Tarehe 14 Novemba 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
3 hours ago
1 Comments
he he he..Zanzinews kiboko ya stress bwana wee...Hongera Mapara hilo bango limenichekesha kweli kweli ni comedy ya aina, hata mimi nikilisoma linaniacha hoi sijui mtalii akitafsiriwa litamchanganya kinoma.
ReplyDelete