WAFANYAKAZI wa Idara ya Mazingira Pemba, wakichoma moto mataka waliyoyakusanya katika mji wa Chake Chake, katika kilele cha siku ya Mazingira Duniani, maara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi katika mji huo
BORDOZA la Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Pemba, likihamisha Jaa maarufu la kutupia taka, huko vitongoji katika siku ya Mazingira Duniani, na kutafutwa sehemu nyengine ya kutupia taka.
WAFANYAKAZI wa Baraza la Mji Wete, wakikusana na kuhamisha taka, zilizotupwa katika jaa lililokuwa sio rasmi, ambalo limeibuliwa na wananchi, huko katika kijiji cha Migombani wete
MWANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Jadida Wete, Yussuf Ali wa darasa la Saba “B”, akipanda Mti katika eneo ambalo linaharibiwa na Maji ya Mvua, katika siku ya Mazingira Duniani
Afisa Elimu Wilaya ya Wete Khamis Said Hamad, akimkabidhi Cheti cha uandihsi bora wa Insha juu ya umuhimu wa kutunza Mazingira, mwanafunzi wa Skuli ya Msingi Makangale Asha Darus Faki, katika siku ya Mazindira Duniani
WAFANYAKAZI wa Idara ya Mazingira Pemba, wakiangalia Jaa linalotupwa taka, ambalo limemegwa na Maji ya Bahari huku likiwa karibu na makaazi ya watu, kama linavyoonekana katika Picha. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
JUMUIYA YA WANAWAKE WA REA YAGAWA MAJIKO 300 BURE KWA WAKAZI WA WILAYA YA
BAHI MKOANI DODOMA
-
Na Mwandishi wetu Dodoma
Jumuiya ya Wanawake wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) leo alasiri, tarehe
9 Machi, 2026 wamesambaza bure majiko banifu 300 kwa...
34 minutes ago
1 Comments
Hongera sana muandishi kwa kutuwekea habari hii.
ReplyDelete