Wanafunzi wa Jimbo la Bububu wakiwa katika harakati za kupanda basi lao la Wanafunzi lililotolewa na Mwakilishi wao Husein Ibrahim Bhaa, Basi hilo limekuwa mkumbozi wa usafi wakati wa kwenda na kurudi skuli, na kupunguza adha za usafiri waliokuwa wakipata wakati wa kurudi majumbani.
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
9 hours ago
1 Comments
Nampongeza muheshimiwa, tunahitaji wawakilishi kama huyu, nawapa challenge wengine kama kweli ni watetezi wa watu wao
ReplyDelete