Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kumtambulisha Mkuu mpya wa Shirika hilo Mama Francesca Moranditi,(hayupo pichani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Mama Francesca Moranditi,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais
Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,(katikati) alipokuwa akimtambulisha Mama Francesca Moranditi,(kushoto) kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo mchana,).[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
1 hour ago



0 Comments