Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF katika ukumbi wa Ngome kongwe
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF katika ukumbi wa Ngome kongwe.
Wasanii wa kikundi cha taarab cha wanawake Zanzibar TAUSI WOMEN GROUB wakitoa burdani wakati wa ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF lililofanyika Ngome Kongwe Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na watendaji wa Ethiopean Airline ambao ni miongoni mwa wafadhili wa tamasha la 16 la ZIFF.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ZIFF katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF.
(Picha na Salmin Said, OMKR).
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
3 hours ago
0 Comments