6/recent/ticker-posts

Mambo ya Usalama wa Raia


Post a Comment

5 Comments

  1. Hawa askari wachukuliwe sheria kwani kumpiga raia kama hivi inakubalika au ndio uswahilini mwenye nguvu mpishe

    ReplyDelete
  2. hawa trafic ni washenzi sana inakuwaje wanapiga raia kwa mambo madogo kama haya wakati kazi zao ni kuwapa ticket waendesha vyombo kama hivi iwapo wamefanya makosa ila sasa wanajichukulia sheria mikononi mwao au ndio wameambiwa na pinda wapige watu na hata kuuwa itakuwa poa tu.

    ReplyDelete
  3. Usalama wa raia uko wapo wakati mtu anapigwa mangumi hapo inaonekana live ukweli unaupindisha kutete viongozi zaidikushinda raia ukiwa mwanalibeneke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. na mnapoona ovu linatendeka basi ni wajibu kulizuia , hawa wananchi wamekaa tu mwenzao anapigwa bila kuchukua hatua zozote , huyu askari kavunja sheria kwa hio ilibidi na raia wavunje sheria wampige vilevile , yeye ndiye alieanza kuvunj sheria kwa hio kumpiga sio kosa

    ReplyDelete
  5. Hatua walizochukua wananchi kurikodi tukio inatosha,njia nyengine yeyote ingekua kuingilia kazi ya Jeshi la Polisi.Tusubiri hatua ambazo wakuu wake wa kazi watachukua kwasababu nimesikia IGP Mwema kaonyeshwa kupitia Blog ya michuzi.

    ReplyDelete