Kivutio cha Watalkii wanaofika katika Visiwa vya Zanzibar hutembelea sehemu mbalimbali na na kuvutiwa na sanaa ya Utamaduni wa Zanzibar, kama anavyoonekana Mtalii huyu akichora picha katika moja ya duka la Uuzaji wa bidhaa za kitalii katika mji mkongwe wa Zanzibar.
SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
12 minutes ago
0 Comments