Kikosi cha timu ya KMKM Mabingwa Watetezi wa Ligi hiyo, kilichoizamisha timu ya Miembeni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar inayofanyika katika uwanja wa Mao, timu hiyo imeshinda kwa mabao 3--0.
Kocha wa timu ya KMKM AliBushiri akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na mchezo wao huo na timu ya Miembeni na kusema timu yake imecheza vizuri ndio maana ikapata ushindi huo wa mabao 3--0, na wapizani wao wameonesha mchezo wa upizani dhidi ya timu yake.
MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUWA VINARA WA MAFANIKIO NCHINI.
-
Maafisa Ushirika wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutumia ipasavyo
elimu na maarifa waliyoyapata katika mafunzo maalum ili kuwa chachu ya
mafanikio,...
12 hours ago
0 Comments