6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

1 Comments

  1. Muheshimiwa je kwema huko??. Mwenzako Kikwete kutwa yuko njiani anaipigia mbio Tanzania yake

    ReplyDelete