6/recent/ticker-posts

Askari wa Usalama Barabarani Akikagua Gari.

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zenj akikagua gari ya daladala kuangalia uhalali wake wa kutembea barabarani kama umekamilika kisheria, kuna baadhi ya magari hupakia abiria bila ya kukaguliwa na kupata kibali husika cha kutembea barabarani.

Post a Comment

1 Comments

  1. si lolote ni njia tu za kutafuta rushwa na kusumbua wenye magari

    ReplyDelete