Wadau wa mchezo wa sko Zenj wakifuatilia mchezo wa Ili Kuu ya Zanzibar Grand Malt wakati wa mchezo wa KMKM na Chuoni mchezo uliofanyiwa uwanja wa Mao.Timu ya Chuoni imeshinda kwa bao 1--0. na Huku Mdau akipata burudani mbili kwa wakati mmoja akisoma gazeti na muda mwengine kutizama mechi hiyo.
MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA WAONGEZA BEI YA MAZAO KWA WAKULIMA
-
Na. Janeth Raphael MichuziTv - Dodoma
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Dennis Londo, amesema kuwa ujio mpya
wa stakabadhi za ghala unawakumbusha wak...
52 minutes ago
0 Comments