Mwanasheria wa Serikali kutoa ofisi ya
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP), Omar Sururu Khalfan akiwasilisha mada
kwa Makarani wa Mahakama mbali mbali Unguja na Pemba, huko katika ukumbi wa
kiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, Pemba.)
ALAF YAZINDUA TUZO YA 10 YA KISWAHILI YA SAFAL 2025
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya ALAF Tanzania imezindua rasmi Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya
Fasihi ya Afrika kwa mwaka wa 2025, ambapo wanaotarajiwa kushiriki...
55 minutes ago
0 Comments