Hatimaye Sheikh Azzan Khalid Hamdan ameondoka leo mchana kuelekea nchini India kwa matibabu.
Sheikh Azan amesema anawashukuru wote waliofanikisha safari yake kwa michango yao ya hali na mali na kuwataka kumwombea dua katika kipindi chote cha matibabu.
"Nashukuru kwa ujumla, nawaomba wale wote walionichangia na kufanikisha safari yangu, InshaaAllaah Mwenyezi Mungu atawalipa, pia naishukuru sana familia yangu kwa kuwa na mimi katika kipindi chote tangu nilipoachiwa kwa dhamana' amesema Sheikh Azzan.
Sheikh Azzan ameondoka kwa ndege ya Oman Air saa saba mchana.

Maelezo na Munir Zakaria
1 Comments
Ama kweli, kuwa mungu ana rehma, kumbe hata haw magaidi wana muomba mungu na pia wataka watuu wa wamumbee dua, lakini pale, walipo, ipa masa 24,smz, la sihivyo itawajua, waoni, tulifikiri, ukaribu, wake na muumba wetu, simtu, wakushukuru hivyo kiulalamiashi, kama muungwana, angeishukuru, serekali, yetu, tukufu, ya kumthamini, na kumpenda, haikujali, kuwa yeye ni mtuhuwa, wa kesi mbaya, iliona, uhai bora na ikamrushu kwenda kutibiwa, wao utu kama huo hawana, walimpiga mapanga na kmua bure masikni ya mungu kijana yule askari polis bububu na kumtia moto mungu awape moy wa subira wzazi na ndugu zake
ReplyDelete