6/recent/ticker-posts

Mama Mwanamwema Shein Akabidhiwa Vyarahani

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akipokea Msaada wa Vyarahani Kutoka kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mama Wu Yan Ikulu ya Migombani leo,(kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi na Safia Mlinde Mke Mbunge wa Jimbo la Bumwini.(kulia) 
Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar B. Wu Yan, akitowa pongeza kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa jitihada zake katika kusaidia Vikundi vya Maendeleo vya Wanawake Wajasiriamali Zanzibar kwa misaada mbalimbali anayoitoa, kwa vikundi hivyo.Mama Balozi ametoa msaada wa vyarahani kwa Mama Shein leo Ikulu Migombani Zanzibar. 
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitowa shukrani kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Bi. Wu Yan, alipofika Ikulu leo kumkabidhi msaada huo wa vyarahani.

Post a Comment

0 Comments