Ziara ya kutembelea nyumba ya kutunzia wazee ilimalizika na utoaji zawadi zenye lengo la kuitangaza Zanzibar. Mratibu za mashirikiano kati ya Manispaliti ya Kiruna na Wadi za Makunduchi, ndugu Mohamed Muombwa amzawadia bi. Anne Sjobro, meneja wa nyumba ya kutunzia wazee, kanga pamoja na mtandio usomekanao "hakuna matata Zanzibar"
Ujumbe wa wadi za Makunduchi wakimsikiliza kwa makini mtoa mada bi Jenny NiChana. Kutoka kushoto diwani wa Mtegani bi Mariam akifuatiwa na ndugu Mohd Simba na Afisa tawala mstaafu wa Wilaya ya Kusini ndugu Abdalla Ali Kombo. Wajumbe wengine 3, ndugu Mohamed Muombwa, Simai Ameir Haji na mwalimu Haji Kiongo pia walihudhuria kumsikiliza mtoa mada.

0 Comments