Waziri wa Fedha Mh.Saada
Mkuya Salum akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Kusini Bw.Patrick Diamini (wa kwanza
kushoto) Mjini Kigali Rwanda. Mh.Waziri yupo Nchini Rwanda kuhudhuria Mkutano
wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika.
Mh.Saada M.Salum akijadiliana
jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ya Kusini (DBSA)
Bw.Patrick Diamini (wa pili kushoto) baada ya kikao kilichofanyika Mount
Muhambara – Kigali Rwanda.
Waziri wa Fedha Mh.Saada
M.Salum akipata maelezo kutoka kwa Amir Shaikh –‘Chief legal Council’ wa ‘African
legal for Support Facilities’,wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa ‘African
Legal for Support Facilities’ Bw. Stephen Karangizi.



0 Comments