Ama kweli Wazungu wakutuita sisi Wa Africa tuna akili ndogo na wajinga, tusikasirike jamani... Hiyo gari ilivopakia hivo mpaka kuiziba kipaaa cha gari yenyewe. Kweli Dereva huyo ataweza kuangalia kioo chake cha njuu ambacho humpa picha ya gari ziliopo nyuma na kujuwa ajihami vipi kama itatokea ajali...
Jee Usalama wa barabarani wana kazi gani ikiwa wanamuacha dereva anapakia mizigo mpaka anahatarisha hatari yake na walioko barabarani watamuacha apite hivi hivi au watamsimamisha?
1 Comments
Ama kweli Wazungu wakutuita sisi Wa Africa tuna akili ndogo na wajinga, tusikasirike jamani... Hiyo gari ilivopakia hivo mpaka kuiziba kipaaa cha gari yenyewe. Kweli Dereva huyo ataweza kuangalia kioo chake cha njuu ambacho humpa picha ya gari ziliopo nyuma na kujuwa ajihami vipi kama itatokea ajali...
ReplyDeleteJee Usalama wa barabarani wana kazi gani ikiwa wanamuacha dereva anapakia mizigo mpaka anahatarisha hatari yake na walioko barabarani watamuacha apite hivi hivi au watamsimamisha?