6/recent/ticker-posts

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Ahudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Africa (AFDB) Kigali Rwanda.



 Waziri wa Fedha Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa katika majadiliano na Viongozi wa Benki ya HSBC kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Terminal III,majadiliano hayo yamefanyika katika hoteli ya Mills Kigali.
 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC, baada ya majadiliano yao yaliofanyika katika hoteli ya Mills Kigali Mjini Rwanda.

 Waziri wa Fedha Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya akimsikiliza kwa makini Mratibu wa Mkoba Fund Bi Erika Rubin wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya serena Mjini Kigalin Rwanda, kulia kwaWaziri ni Ndg. Jovin Rugemarila Afisa anayeshughulikia masuala ya ADB na kulia Kamishna Msaidizi wa Fedha za Nje Wizara ya Fedha Tanzania Ndg.Jarome Bureta. 
Waziri wa Fedha Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mratibu wa Mkoba Fund Bi. Erika Rubin, mara ya baada ya mkutano waounaofanyika katika ukumbi wa Muhabura Mjini Rwanda.   

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Tanzania Dkt. Silvacus Likwilile, akieleza kwa muhtasari yale yaliojadiliwa katika Mkutano wa Benki ya Maendelea ya Afrika, unaofanyika Nchini Rwanda, mwandishi wa TBC Ndg Stanley Ganzel

Post a Comment

0 Comments