Wakala wa Kampuni ya Simu ya mkononi ya Zantel akitowa maelezo kwa Mtejawa ZECO aliyefika katika Ofisi za Zeco Gulioni kupata huduma ya kununua umeme, akipata maelezo jinsi ya kujiunga na mtandao wa EnzPesa kupata huduma ya kununua umeme kupitia katika simu yake.Zoezi hilo limeanza kwa majaribio kutowa huduma hiyo.kwa wateja wake.
Hii Sio Bahati Tu Ni Mchongo” Sambo wa Kigoma Ashika Boda Mpya, Asema
Inaenda Kusukuma Maisha
-
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam Kuna ushindi wa kupiga picha na kuonyesha watu. Halafu kuna
ushindi wa aina nyingine. Ule unaokupa mwendo mpya kwenye ...
2 minutes ago
1 Comments
Alhamdulilah Zeco sasa mutaacha kutuibia, au mtakuja na njia nyengine ya kuibia masikini za mungu?, mana mimi mushaniibia sana tu nikitia umeme alfu 20 naweza kutumia miezi mitatu nawasha taa 2 tu sipiki wala sina mke, sasa inakuaje nikija kutia umeme munanikata? kwasababu sijatia siku nyingi umeme tena munakata sana natia alfu 25 munanipa unit 5 tu si dhulma hii munoifanya? na ndugu muandishi tunaomba hili suala ukatuulizie kunakohusika, pengine hao wakubwa ata hawajui. inatakiwa umeme mtu atie kutokana na matumizi yake sio siku ngapi.
ReplyDelete