Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar
akizibua mtaro wa maji machafu katika eneo la michezani jumba namba 7, eneo
hilo ni linatatizo la kuziba mitaro ya maji machafu kwa muda mwingi na
kusababisha maji machafu kuzagaa barabarani na kuwa kero kwa watumiaji wa eneo
hilo
Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakifanya usafi katika moja ya barabara za
michezani kuweka mazingira ya eneo hilo kuwa safi na salama kwa
wananchi wa maeneo
0 Comments