MWENYEKITI wa jumuiya ya Mazingira na Utetezi wa
Kijinsia Kisiwani Pemba (PEGAO), Mauwa Makame Rajab akifungua mafunzo ya siku
mbili kwa wanachama wa jumuiya hiyo, juu ya Ushawishi na Utetezi wa kijinsia
kwa wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
HESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo Diploma
-
Na: Mwandishi Wetu, DAR
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza rasmi kupokea
maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ngazi ya Stash...
0 Comments