Wachezaji wa klabu ya Simba wakiendelea kujifua huko Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya soka Tanzania bara.(Picha na Ali Cheupe)
Waziri wa Kilimo, Amefanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
2 hours ago
0 Comments