MENEJA wa programu
ya jamii kutoka TASAF, Amadeus Kamagege akizungumza na waandishi wa habari nje
ya ukumbi wa mkitano wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, akitoa
ufafanuzi wa namna kaya lengwa zinavyofaidika na fedha zinazotolewa na TASAF
nchini kote (picha na Haji Nassor,
Pemba)
Teknolojia : Serikali Yaombwa Kutazama Upya Ghrama za Usajili na Kodi kwa
Vyombo vya Habari vya Mtandaoni
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hil...
2 hours ago
0 Comments