Mfanyabiashara ya Saruji katika maduka ya Mlandege akizungumzia kwa kupanda kwa saruji kufukia shilingi 18, 000/= kwa mfuko mmoja imebidi kuuza bei hiyo kutokana na kuipa saruji hiyo kwa bei ya jumla kwa shs 15,000/= Saruji Zanzibar imekuwa adimi sasa karibu miezi mitatu sasa bidhaa hiyo imekuwa adimu
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
4 hours ago
0 Comments