Barabara ya ndani ya Unguja Ukuu kupitia katika mabonde ya mpunga cheju hagi jendele ikiwa katika hatua zake za mwazo kuwekwa kifusi kama inavyoonekana picha barabara hii tayari imeshawekwa kifusi cha awali na kupigwa gred, hili ni eneo la Unguja Ukuu inakoazia barabara hiyo.ikiwa tayari imeshatandazwa kifusi
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kutoka...
2 hours ago
0 Comments