Kuna baadhi ya maderevya hupuuza matumizi sahihi ya maegesho ya magari katika barabara ikizingatiwa barabara hiyo ni matumizi ya wabnanchi wengi kana inavyoonekana magari haya yakiwa yameegeshwa isivyo stahiki na kuleta usumbufu wa watumiaji wa barabara hii katika mzunguko wa barabara ya michezani. Je maderevya kama hawa wakichukuliwa magari yao na taasisi husika nani wa kulaumia wakati kipindi hicho Manispa ya Zanzibar ikiwa katika zoezi la kuondoa magari yanayoengesha isivyo halali.
NEMC YATOA ELIMU YA MAZINGIRA KWENYE KONGAMANO LA ANWANI ZA MAKAZI
-
-Yatoa Elimu ya Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu
ya mazingira kwenye Kongamano...
20 minutes ago
0 Comments